Search

480 results for Janeth Mushi :

  1. Ujenzi wa nyumba Hanang wafikia asilimia 40

    Akizungumza kuhusu maendeleo ya mradi huo, Kaimu Operesheni Kamanda, Luteni Kanali Ashraf Hassan amesema ujenzi wa nyumba 73 umefikia asilimia 40 na unajengwa kwa kuzingatia vigezo vya ubora...

  2. DPP aondoa rufaa ya mwisho dhidi ya Sabaya, wenzake watano

    Katika Rufaa hiyo Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), alikuwa akipinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyomwachia huru Sabaya na wenzake watano waliokuwa wakikabiliwa na...

  3. Mratibu wa Tasaf Arusha, wenzake kizimbani madai ya uhujumu uchumi

    Mratibu wa Mpango wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) katika Halmashauri ya Jiji la Arusha, Amani Mlay na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani wakikabiliwa na makosa tisa likiwamo la matumizi mabaya...

  4. Makamu wa Rais mgeni rasmi Mei Mosi

    Maadhimisho ya Mei Mosi, 2024 kitaifa mwaka huu yanafanyika katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha ambapo awali Rais Samia Suluhu Hassan, alitarajiwa kuwa mgeni rasmi katika...

  5. Kituo cha uwekezaji kuzinduliwa Arusha, Julai

    Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Apili 30, 2024 jijini Arusha na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo wakati akizungumza kwenye kongamanao la uwekezaji...

  6. Joto kazini laua 18,970 kila mwaka duniani

    Wafanyakazi zaidi ya milioni 22 duniani wanapata madhara ya ajali sehemu za kazi, huku wengine 18,970 wakifariki duniani kote kila mwaka kutokana na ongezeko la joto mahali pa kazi.

  7. Makonda ataka waliokula fedha za Tasaf waburuzwe kortini

    Amesema lengo la Tasaf ni kuhudumia wananchi hasa wa hali za chini kiuchumi kupitia miradi wanayoanzisha katika maeneo yao ila baadhi ya watumishi mkoani Arusha wameamua kutafuna fedha...

  8. NCAA kutetea nafasi yake tuzo ya kivutio bora cha utalii Afrika

    Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imezindua kampeni yake ya kuipigia kura mamlaka hiyo kutetea nafasi yake ya kuwa kivutio bora cha utalii barani Afrika, kwa mwaka 2024 zinazotolewa na...

  9. PRIME Undani sakata la vyama 19 vya wafanyakazi kuunda shirikisho jipya

    Wakati maandalizi ya sherehe za sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) yakiendelea, vyama 19 vya wafanyakazi wa sekta binafsi vinakusudia kuanzisha shirikisho lao, kwa sababu ya kile wanachodai...

  10. Wanne familia moja wafariki dunia, madaraja yakatika

    Tukio hilo lililitokea juzi asubuhi ambapo Lidya Heza (21), Agnes Eliya (20), Stella Rujukundi (20) na Joyce Rujukundi (12), walifariki dunia huku wengine saba wakinusurika katika tukio hilo.

    New Content Item (1)

Page 1 of 48

Next